Watu 11 Wakamatwa Mkoani Morogoro Kwa Tuhuma za Kumbaka na Kumdhalilisha Binti wa Miaka 21

Watuhumiwa wawili Zuberi Thabiti (30) na Iddy Adamu (32) wanaodaiwa kushirikiana kufanikisha tukio la kumbaka na kumdhalilisha binti wa miaka 21, mkulima (jina limehifadhiwa), mkazi wa Kata ya Dakawa, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wamekamatwa na kohojiwa na jeshi la polisi mkoani humo. Watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya tukio hilo la kinyama usiku wa Mei 4, mwaka huu katika nyumba ya kulala...
Read More

No comments:

Post a Comment