Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye siku za karibuni ilisemekana alipata ujauzito na kisha baadaye ujauzito huo kuharibika amefunguka na kuonyesha bado hajakata tamaa na anaamini ipo siku na yeye atapata mtoto kama watu wengine wanavyopata Kupitia Account yake ya Instagram Wema Sepetu alipost picha akiwa na mama yake mzazi na kuweka maneno yalisomeka kuwa 'iko siku na mimi nitaitwa Mama',...

No comments:
Post a Comment