Basi la NBS linalotoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali mbaya maeneo ya Chakwale wilayani Gairo mkoani Morogoro.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaarifu kuwa watu 5 wamefariki na 27 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
Basi la KISBO lilivyopata ajali.
Ajali nyingine ni ya basi la Kampuni ya KISBO lililopata ajali maeneo ya Dumira Morogoro, hakuna mtu aliyeripotiwa kufariki japo kuna majruhi kadhaa.
No comments:
Post a Comment