AUDIO: Mwembe Ambao usiku Hubadilika kuwa Mwalimu Nyerere na Mama Nyerere Wavuta Mamia ya Watu Kuushuhudia Tanga

Mti wa  ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya jioni hubadilika na kuwa  na taswira ya mwalimu Nyerere kwa upande mmoja na Mama Nyerere kwa upande wa pili Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016.  "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, ...
Read More

No comments:

Post a Comment