Basi la Tahmed Lateketea Kwa Moto

Moto basi (2)Moto ukilipuka kwenye basi hilo.
Moto basi (1)
Basi likiteketea
Moto basi (3)
Eneo la tukio.
3
Basi la abiria mali ya Kampuni ya Tahmed lililokuwa likisafiri kutoka Tanga kuelekea Dar es Salaam limeteketea lote kwa moto leo wakati likipita katika Barabara ya Chalinze-Segera huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijajulikana bado.
Abiria wote waliokuwemo ndani ya basi hilo wamenusurika wakati mizigo yao iliyokuwa ndani ya gari hilo ikiteketea pia.

No comments:

Post a Comment