Familia za Watu 8 Waliouawa Kwa Kuchinjwa Tanga Kujengewa Nyumba

Wabunge wa majimbo ya Mkoa wa Tanga wameahidi kujenga nyumba nne kwa ajili ya makazi ya kaya ambazo ndugu zao waliuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana katika kitongoji cha Kibatini, Jumanne ya wiki iliyopita. Wakazi hao walihamia katika eneo la Kona Z baada ya ndugu zao wanane kuchinjwa na watu hao katika tukio linaloonekana kama kulipiza kisasi baada ya wakazi hao kuwaripoti polisi watoto...
Read More

No comments:

Post a Comment