HABARI NJEMA KWA WATUMAJI MIZIGO TANZANIA NA KENYA

Kwa usafirishaji wa haraka na uhakika, watumie wakala maarufu, AllAfrika Travel & Logistics kwa kutuma Mabox, Mapipa, Magari na vifurushi mbalimbali.

Usafiri wa uhakika na kwa bei nafuu sana, sasa unaweza tuma mizigo yako kwenda hadi Kenya au Tanzania kwa njia ya meli au ndege kama ni mizigo ya haraka.

Bei zetu kwa meli TUNAANZIA $250 kwa pipa (150lbs Uzito) na $200 kwa box la 24x24x24 Inches (90 Lbs Max uzito). Bei hii zinajumlisha gharama zote za kusafirisha hadi kutoa bandarini, Dar ( Tanzania) au Mombassa ( Kenya).

Kama ni mizigo ya ndege, gharama zake kwa usafiri tuu hadi kufikisha uwanja wa ndege ni $8/Kg. Utakuwa na gharama zingine za kukomboa mizigo airport .

Piga simu kwa kufanya booking ya nafasi na kupata tarehe tutakayopita jimbo (state) uliyoko. Kama hatupiti kabisa, basi kuna njia mbadala ya kutuma hadi Tanzania, tutakayokuelezea.

Asanteni

AllAfrika Travel & Logistics llc
+1-240-552-4870 WhatsApp

No comments:

Post a Comment