Hamisa Mobeto Amlipua Lulu Michael Kisa Kigogo Penzi la Kigogo

Mwanamitindo ambaye pia ni video queen maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto, amemlipua live staa wa films za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kisa kikidaiwa ni lile saga la kugombea penzi la kigogo (jina tunalo) ambapo kwa sasa hali ni tete baina ya wawili hao.

No comments:

Post a Comment