Mahakama ya Rufani Yatengua Hukumu ya Mahakama Kuuu Dhidi ya Bosi wa Zamani wa TRA na Wenzake......Yaamuru Jalada Lirudi Mahakama Kuu Kwa Ajili ya Kusikilizwa

Mahakama ya Rufani Tanzania, imeamuru jalada la kesi inayomkabili Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake kurudishwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa rufani ya Jamhuri. Pia, imeagiza jalada hilo lipangiwe kusikilizwa kwa jaji mwingine dhidi ya rufaa ya kupinga kuondolewa shtaka la utakatishaji fedha katika kesi ya kujipatia Dola za Marekani...
Read More

No comments:

Post a Comment