Majaliwa ahudhuria sherehe za kumsimika askofu Geita

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Askofu wa Jimbo la Geita , Mhashamu Flavian Kassala  katika Ibada ya kusimika Askofu huyo iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Geita Juni 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Maliwa akiwapungia waumini wa Kanisa katoliki  jimbo la Geita baada ya kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo hilo, Flavian...
Read More

No comments:

Post a Comment