Rais Magufuli Ahudhuria Ibada Katika Kanisa La Maombezi La Mchungaji Antony Lusekelo ‘Mzee Wa Upako’ Ubungo Kibangu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelitembelea Kanisa la Maombezi linaloongozwa na Mchungaji Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) lililopo Ubungo Kibangu Jijini Dar es salaam na kuwaahidi waumini wa kanisa hilo kuwa Serikali yake itatengeneza barabara ya kutoka Ubungo Kibangu hadi River Side ambako itaungana na barabara ya Mandela. Rais Magufuli ambaye amezungumza...
Read More

No comments:

Post a Comment