Serikali Yasitisha Ajira Zote Kwa Muda

SERIKALI imesitisha ajira zote, kama njia ya kukabiliana na wimbi la watumishi hewa. Kutokana na uamuzi huo hivi sasa hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa Serikali na wakala zake pamoja na utoaji wa vibali wa likizo ya bila malipo. Katibu Mkuu Utumishi, Dk. Laurean Ndumbaro,  jana alisema kuwa Serikali imesitisha kwa muda utoaji wa ajira, ili kupitia upya muundo wa Serikali...
Read More

No comments:

Post a Comment