Watendaji Wabadhirifu Wa Bodi Ya Mikopo Kukiona –profesa Ndalichako.

WAZIRI wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,  Profesa  Joyce Ndalichako ametangaza kiama kwa watendaji wote wa  Bodi ya Mikopo waliofanya ubadhirifu wa fedha za wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa kuwapa watu wasiohusika. Joyce ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam leo.  Amesema kuwa bodi ya mikopo baada ya kufanya ukaguzi maalum katika...
Read More

No comments:

Post a Comment