Ajali ya Lori Yaua Watatu Dodoma Wakitoka Mnadani

WATU watatu wamekufa baada ya kufukiwa na mizigo wakati lori walilokuwa wamepanda kutoka Mnada wa Mgaga wilayani Bahi mkoani Dodoma, kupasuka tairi na kupinduka. Ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha Chifutuka saa 11 jioni juzi, pia ilisababisha majeruhi 19 ambao wamekimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi...
Read More

No comments:

Post a Comment