JESHI la Polisi nchini, limesema linafanya uchunguzi kubaini baadhi ya vijana wanaojiunga na vikundi vya kigaidi, vikiwamo IS na Al-Shabaab ili wawachukulie hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Diwani Athuman, alisema wimbi la vijana hao kujiunga na makundi hayo yanayopigwa vita duniani kote, linatokana...
No comments:
Post a Comment