Kiwanda Cha Nguo Cha 21st Century Chateketea Kwa Moto

BAADHI ya mitambo, nguo na malighafi katika Kiwanda cha Nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda, Morogoro vimeteketea kwa moto na kusababisha hasara. Akizungumzia moto huo Clement Munisi, meneja uzalishaji wa kiwanda hicho amesema kuwa, moto huo ulianza saa 12:00 asubuhi leo katika  mashine moja ya kuzalishia  nguo kwa ulianza kwa kutoa cheche. Amesema, wafanyakazi walijaribu kuuzima...
Read More

No comments:

Post a Comment