Kodi ya Utalii Tanzania Yashtua mataifa Ulaya

Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye shughuli za utalii iliyoanza mwezi huu, imezishtua nchi 30 za Ulaya ambazo zimeiandikia barua Serikali ya Tanzania zikiomba ifikirie upya au isianze kutumika hadi mwaka ujao. ...
Read More

No comments:

Post a Comment