Licha ya lori lililokosa breki katika Mlima Iwambi nje kidogo ya Jiji la Mbeya, kuyakwepa magari manne, limeyagonga mengine manne na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi 22. Ajali hiyo ilitokea juzi usiku katika mji mdogo wa Mbalizi, Barabara Kuu ya Mbeya - Tunduma, ambako lori hilo liligonga basi aina ya Toyota Coaster na magari madogo matatu. Katika tukio hilo,...

No comments:
Post a Comment