Makonda Apiga Marufuku Kuvuta Sigara Hadharani......Pia Kapiga Marufuku Kuvuta Shisha

Baada ya kutangaza vita dhidi ya mashoga juzi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana alitangaza vita nyingine; hataki uvutaji shisha akisema inachanganywa na vilevi vinavyoharibu vijana.  Makonda, ambaye alikuwa akihutubia Tamasha la Vijana lililoandaliwa na Upendo Media Group kwenye Uwanja wa Taifa aliagiza wavuta shisha hadharani, sigara na mashoga wakamatwe ndani ya siku saba.  “Ni...
Read More

No comments:

Post a Comment