Jeshi la Polisi jana liliwahoji Mhariri Mtendaji wa Mwananchi, Frank Sanga na mwandishi wa habari, Elias Msuya kuhusu makala iliyochapishwa juzi kuhusu utendaji wa jeshi hilo. Baada ya mahojiano yaliyofanyika kwa muda tofauti, waliachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti kituoni hapo leo asubuhi. Msuya ndiye aliyeanza kuhojiwa baada ya juzi jioni kupigiwa simu na maofisa wa...

No comments:
Post a Comment