Programu za vyuo vikuu ambazo hazijasajiliwa na TCU na NACTE kufutwa

Na: Lilian Lundo -Maelezo  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Bi. Maimuna Tarishi ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)   kufuta programu zinazotolewa na vyuo vikuu hapa nchini ambazo hazijafanyiwa tathmini wala kusajiliwa. Katibu Mkuu huyo ameyasema hayo leo alipokuwa akifunga maonyesho ya...
Read More

No comments:

Post a Comment