Serikali ya Kenya mapema leo imechukua uamuzi wa kumtimua mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide kufuatia tukio alilolifanya jana la kumpiga mnenguaji wake wa kike katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi. Taarifa za kuaminika kutoka jijini Nairobi zimeeleza kuwa Koffi Olomide alikamatwa na polisi jana majira ya saa nne usiku alipotoka...

No comments:
Post a Comment