TCRA yaipiga Clouds Tv adhabu kwa Kurusha kipindi chenye maudhui ya ushoga.

MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imetoa onyo pamoja na kuutaka uongozi wa Clouds TV kuomba radhi Watanzania kupitia taarifa zake za habari ndani ya siku tano mfululizo kuanzia jana. Adhabu hiyo ilitolewa jana na kamati ya Maudhui ya TCRA, baada ya baadhi ya wananchi hususani watazamaji wa kipindi cha ‘Take One’ kilichorushwa 28 Juni mwaka huu ambacho kilidaiwa kueleza masuala ya mapenzi...
Read More

No comments:

Post a Comment