WABUNIFU WA NDEGE WATAKIWA KUOMBA KIBALI

Mkazi wa Songea mji mdogo wa Tunduma mkoani
By Fidelis Butahe, Mwananchi; fbutahe@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Licha ya kuwapo kwa wabunifu kadhaa za ndege na magari, huku wananchi wakitaka Serikali iwaunge mkono kwa kuwawezesha, huenda wengi wao wasifikie ndoto zao.

Tayari mkazi wa Tunduma mkoani Songwe, Adam Kimikile (34) aliyetengeneza helikopta ni kama amepigwa ‘stop’ na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kujihusisha na utengenezaji au ubunifu wa ndege bila kufuata taratibu.

No comments:

Post a Comment