WAKURUGENZI wa halmashauri za majiji, manispaa, miji na wilaya walioteuliwa Jumatano ya wiki hii, wametakiwa kuwasilisha nakala halisi za vyeti vyao vya taaluma, kabla ya kuapa. Wakurugenzi hao wa majiji matano, manispaa 21, miji 22 na wilaya 137 nchi nzima, wanatarajiwa kuapishwa Ikulu Dar es Salaam keshokutwa. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, iliyotumwa jana kwa vyombo...

No comments:
Post a Comment