CHADEMA Wapinga Kauli ya Jeshi la Polisi Kuzuia Mikutano ya Ndani ya Vyama vya Siasa

Wakati Jeshi la Polisi likisisitiza kupiga marufuku mikutano na maandamano ya Chadema chini ya mwavuli wa Umoja wa Kupinga Udikteta nchini (Ukuta), chama hicho kimepinga katazo hilo nakudai kuwa ni haramu kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Kauli hiyo imetolewa leo na Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Makao Makuu ya chama hicho Mtaa wa...
Read More

No comments:

Post a Comment