OFISI YA SERIKALI YA MTAA WA MWEMBENI MANZESE YAGEUZWA SEHEMU YA KUTUPA TAKA

Mkazi wa Mtaa wa Mwembeni Manzese jijini Dar es Salaam, Rajabu Kassim akitupa taka nje ya Ofisi ya Serikali ya Mtaa baada ya gari la kuzoa taka katika mtaa huo kushindwa kupita kwa wakati na kusababisha mlundikano wa taka majumbani.
Mkazi wa Mtaa wa Mwembeni Manzese jijini Dar es Salaam akitupa taka mbele ya Ofisi ya Serikali ya Mtaa na kusababisha ofisi nzima kutoa harufu kali.(Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment