Wenye Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa kuwahishiwa ARVs

WATU watakaogundulika kuwa na Virusi Vya Ukimwi (VVU) wataanza kupewa na kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa (ARVs) bila kusubiri kinga zao za mwili kupungua kama ilivyozoeleka. Wakati utaratibu huo mpya ukitarajiwa kuanza Oktoba mwaka huu, kwa upande wake, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kupitia kwa Mwenyekiti wake, Constantine Kanyasu, imeshauri serikali kuangalia...
Read More

No comments:

Post a Comment