WATU wanne wamekufa huku sita wakijeruhiwa katika ajali ya basi, lililogonga lori katika eneo la njiapanda ya Kolandoto mkoani Mwanza. Ajali hiyo ilihusisha basi la Kampuni ya JM Luxury kuligonga lori aina TATA, lenye namba za usajiri T218 ABY, la Kampuni ya Birichand lililokuwa likitoka mjini Shinyanga kwenda Kishapu. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Elias Mwita alithibitisha...

No comments:
Post a Comment