BREAKING NEWS: HOTELI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA YASHIKA MOTO MCHANA HUU



Moto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. haijafahakima bado kama kuna mtu aliyepoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na tukio hilo la moto. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASO BLOG.
Moto ukiendelea kuteketeza Jengo hilo.

No comments:

Post a Comment