KATIZO LA UMEME - MKOA WA KINONDONI KUSINI MWISHO WA WIKI HII

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE: Jumamosi 01 Oktoba, 2016
MUDA: 02:00 Asubuhi hadi 11:00 jioni
SABABU: Kujenga laini mpya ya Mburahati na ukarabati wa laini za Tandale Textile ili
kuboresha hali ya umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya Tandale, Manzese, Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vatican, Namnani Hotel, Iteba, Sinza Kijiweni, Sinza Kumekucha, Sinza Mwika, TTCL Manzese , Urafiki Quarters, Urafiki Textile,TSP Ltd Millenium business, Sinza Lion Hotel, Rombo Sunflower, Strabag compound, Engen petrol station, Masamaki Plastic Bags Ltd pamoja na maeneo ya jirani.

No comments:

Post a Comment