Majeruhi 50 wa bodaboda wapelekwa Moi kila siku


WASTANI wa Sh milioni mbili zinatumika kumtibu majeruhi mmoja wa pikipiki, jambo ambalo limezifanya hospitali zinazowapokea majeruhi hao, kuzidiwa na gharama hizo za matibabu. Madaktari kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) wamesema kwamba kwa sasa kila siku, wanapokea wastani wa majeruhi kati ya 50 na 60, jambo ambalo linaiwia vigumu...

Read More >>

No comments:

Post a Comment