Mashabiki wa Wema Sepetu wametokwa na povu baada ya malkia wa muziki Linah Sanga kupost kipande kidogo cha video kinachomwonesha akiwa na Idris Sultan kitandani.
Bila shaka ni maandalizi ya kazi mpya ya malkia huyo wa muziki, lakini mashabiki wa Wema Sepetu wameonesha kuumizwa na hali hiyo kwa kuwa Idris Sultan alikuwa anatoka kimapenzi na Wema Sepetu kipindi cha nyuma licha ya wawili hao kuachana miezi michache iliyopita.
No comments:
Post a Comment