Wanaowapigia simu polisi bila sababu Kuchukuliwa Hatua za Kisheria

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limeahidi kuwachukulia hatua kali wananchi wanaotumia vibaya simu za dharura, zenye namba 111 na 112. Simon Sirro, Kamishina wa Jeshi la Polisi amesema kuwa watu wamekuwa wakipiga simu hizo na kutoa taarifa za uongo au kupiga simu na kisha kuwapa watoto wadogo waongee. “Polisi tutawafuatilia wote kupitia mitandao yetu General Packet Radio Service...
Read More

No comments:

Post a Comment