TOPICS:MASTAA WA BONGO
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu (wa pili kushoto) akiwa na rafiki zake nyumbani kwa mama yake maeneo ya Sinza-Mapambano usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
…Akipongezwa na meneja wake, Martin Kadinda.
…Wakiendelea kuongea jambo.
…Akila chakula cha bethidei.
…Akiwa kambeba mtoto wa rafiki yake.
Madikodiko yakitayarishwa.
Keki zilizoandaliwa kw a ajili ya Wema.
Saa aliyozawadiwa.
Akisoma kadi aliyopewa na rafiki yake.
Mwigizaji wa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesherehekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwa nyumbani kwa mama yake, Miriam Sepetu, Sinza-Mapambano jiini Dar usiku wa kuamkia leo .
Mastaa waliokuwepo katika hafla hiyo ni Martin Kadinda, Sholo Mwamba na shosti mkubwa wa Madam aitwaye Muna Love.
Kusoma A-Z ya Siku ya Kuzaliwa kwake usikose Gazeti la Risasi Jumamosi wiki hii.
No comments:
Post a Comment