Eric Magambo na mmwanae
Mpaka sasa zimepatikana $460/= Bado bado $4,540/= zinazohitajika. Ndugu zangu, watanzania wenzangu na marafiki wa Eric Magambo $5,000/= ni nyingi kwa namba lakini kwa wingi wetu tukigawana $25 kwa watu 200 tutaweza kufanikisha kufikia gharama za mwanasheria wa uhamiaji na kusaidia ndugu na rafiki yetu Eric awe uraiani na hatimae amalize hili swala, tafadhali kama umeguswa tunaomba mchango wako na hatimae uwezeshe kumsaidia mwenzetu. Unaweza tuma mchango kupitia
Bank Of America jina la A/C ni Shaneisa Magambo acc # 383016446359 routing # 031202084.
Kwa Tanzania unawezatuma msaada wako kupitia Prosper Edward Magambo A/C NO NI 03046220025, BANK OF AFRICA TANZANIA LTD, SWIFTCODE ni EUAFTZTZ, BRANCH CODE is 01010.
TUNATANGULIZA SHUKURANI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Shaneisa Magambo 412 520 2029
Jabir Mudrika 202 391 9153
Prosper Magambo +255 767 802255
Idd Sandaly 301 613 5165
Dj Luke Joe 301 661 6696
Dany Kiondo 832 507 1297
Asanteni sana kwa msaada wako

No comments:
Post a Comment