Siku chache baada ya Burundi kutangaza maamuzi ya kujitoa kwenye Mahakama ya makosa ya uhalifu ICC, Umoja wa Ulaya umetangaza kuitenga serikali ya Burundi kwenye masuala ya fedha za kikosi chake kilichotumwa nchini Somalia kujiunga na kikosi cha Umoja wa Afrika kusimamia amani nchini humo (AMISOM). Umoja wa Ulaya, ambaye ni mfadhili mkuu wa Burundi unachangia 20% ya bajeti ya taifa hilo, umeamua...

No comments:
Post a Comment