Majambazi Hatari Wauawa.....Bunduki 9 Zakamatwa

Jeshi la polisi limedai kwamba limeua majambazi wawili  hatari na kukamata bunduki tisa, kati ya hizo SMG saba, shotgun moja na riffle moja, risasi 473 na magazini 16 baada ya majibizano ya risasi katika misitu ya Milima ya Usambara, Kijiji cha Magamba wilayani Lushoto.  Katika majibizano hayo, pia polisi walidai kukamata bendera zenye maandishi ya lugha ya Kiarabu, redio saba za upepo...
Read More

No comments:

Post a Comment