Mauzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yameshuka katika kipindi cha wiki iliyopita kwa 91% kutoka Tsh 32.5 Bilioni na kufikia Tsh 3 Billion. Pia Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeshuka kwa 94% kutoka 9 millioni hadi laki 5. Afisa Masoko Mwandamizi wa DSE, Marry Kinabo, wakati akisungumza na waandishi wa habari jana, alisema kilichochangia kushuka kwa idadi ya mauzo ya hisa ni...

No comments:
Post a Comment