MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA TAFADHALI

Eric Magambo na mkewe Shaneisa Magambo

Familia ya Eric Magambo inaomba msaada wako kutokana na ndugu, yetu, rafiki yetu, mume na baba wa mtoto Eric Magambo kupata matatizo ya uhamiaji Pittsburgh PA.

Mwanzo alitumika mwanasheria huko Pittsburgh lakini inaonyesha mwanasheria huyo haelewi vitu vingi, kwa sasa amepatikana mwanasheria mwingine Washington, DC na amekubali kufuatilia swala hili,

Leo ni siku ya 23 tangia matatizo haya yamtokee ndugu na rafiki yetu. Muda uliobaki ni mchache Mwanasheria wa DC anahitaji $5,000 cash ili aweze kwenda Pittsburgh kushughulikia kwa karibu swala, Tunaomba msaada wako tuweze kufanikisha swala hili.

Kwa akayeguswa tafadhali tuma msaada wako kupitia Bank Of America jina la A/C  ni Shaneisa Magambo acc # 383016446359 routing # 031202084.

Kwa Tanzania unawezatuma msaada wako kupitia Prosper Edward Magambo A/C NO NI 03046220025, BANK OF AFRICA TANZANIA LTD, SWIFTCODE ni EUAFTZTZ, BRANCH CODE is 01010.

TUNATANGULIZA SHUKURANI

Kwa maelezo zaidi wasiliana na 

Shaneisa Magambo 412 520 2029
Jabir Mudrika 202 391 9153
Prosper Magambo +255 767 802255
Idd Sandaly 301 613 5165
Dj Luke Joe 301 661 6696
Dany Kiondo 832 507 1297

Asanteni sana kwa msaada wako

No comments:

Post a Comment