Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Bwana Richard Muyungi akiwa katika Manispaa ya Morogoro kata ya Kihonda, akishiriki kufanya usafi katika siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi ambayo ni siku ya usafi kwa Tanzania nzima.
Sehemu ndoogo ya idadi ya Wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliojitokeza kushiriki katika siku ya usafi wa mazingira ya kila jumamosi ya mwisho wa mwezi iliyofanyika katika kata ya Kihonda. Wananchi wengi wamelalamika kutokuwa na elimu juu ya siku hiyo ya usafi
No comments:
Post a Comment