Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 20 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Safari Njema lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kuja jijini Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Kimara-Stopover jijini Dar es Salaam leo kisha magari yote mawili kuteketea kwa moto. Taarifa zaidi tutazidi kukufahamisha.
No comments:
Post a Comment