Polisi Dar yaua majambazi wanne wanaodaiwa kuwaua askari wanne waliokuwa lindo Mbagala DSM mwezi Agosti, yakamata 'Panya Road' 10.

Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujambazi wa Kutumia Silaha cha Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kilifanikiwa kukamata watuhumiwa wanne wa ujambazi waliohusika katika mauaji ya askari polisi 4 katika benki ya CRDB iliyopo maeneo ya Mbande, Mbagala jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Kanda hiyo, Kamanda Simon Sirro wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,...
Read More

No comments:

Post a Comment