Video ya Diamond akiwa kavaa boxer.
Oktoba Mosi ya kila mwaka ni siku ya kuzaliwa ya mwamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la Diamond Plantinumz.
Ikiwa ni siku chache tangu amfanyie sherehe ya kuzaliwa mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’, Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki huyu.
Kwenye sherehe hiyo amesheherehekea akiwa amevaa nguo ya ndani tu ‘boxer’.
Kaandika ujumbe huu kueleza sababu ya kuvaa ‘boxer’:
“Kwakuwa nawajua wote dhamila yao ilikuwa wananivizia kunilowesha nikaamua kubaki na boxer kabisa ili isiwe tabu tukaaribiana nguo za ngam
No comments:
Post a Comment