WAISUSIA HOSPITALI MWILI WA MAREHEMU

By Rehema Matowo, Mwananchi rmatowo@mwananchi.co.tz

Geita. Mwili wa Chihula Mboyelwa (89), aliyefariki dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Geita umesuswa na familia yake.

Watoto wa Mboyelwa wameamua kugoma kuuchukua mwili wa baba yako kwa madai kuwa kifo chake kimesababishwa na uzembe wa wauguzi.

Mtoto wake, Bahati Chihula amesema Oktoba 6, mwaka huu alimfikisha baba yake katika hospitali hiyo kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji na kulazwa wodini.

No comments:

Post a Comment