Waziri Mwijage awataka wenye malori kuyaegesha Maana Hakuna Mizigo Bandarini

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage jana alitofautiana na wamiliki wa malori aliposema upungufu wa mizigo ni tatizo la muda duniani, wakati wafanyabiashara hao wamesema ni vigumu kuwarejesha wenye mizigo waliokuwa wakitumia Bandari ya Dar es Salam ambao wamehamia bandari za Mombasa na Beira. Waziri Mwijage alisema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa Chama cha Wamiliki...
Read More

No comments:

Post a Comment