Polisi yaongeza muda wa zoezi la uhakiki wa silaha za kiraia kwa nchi nzima

Jeshi la Polisi limeongeza muda wa huruma kwa wamiliki wa silaha walioshindwa kuhakiki silaha zao katika zoezi la uhakiki wa silaha za kiraia Tanzania Bara lililoanza Machi 22 na kumalizika Juni 30, 2016. Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai CP Robert Boaz, amesema licha ya Jeshi la Polisi kuongeza muda wa uhakiki hadi mwezi Oktoba mwaka huu, bado wamiliki wengi hawakujitokeza kuhakiki...
Read More

No comments:

Post a Comment