KAULI mbalimbali zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati wa ziara zake zimezua taharuki jijini humo. Kwa nyakati mbalimbali wakati wa ziara zake, Makonda anadaiwa kutoa kauli za vitisho hasa kwa watumishi wa umma. Kutokana na hali hiyo, Chama cha ACT-Wazalendo kimemshtaki mkuu huyo wa mkoa katika Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Utawala Bora ili imuwajibishe. Katika...
No comments:
Post a Comment