Tanesco yaomba kupandisha bei ya umeme kwa Asilimia 18

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya kupandisha gharama za umeme kwa asilimia 18.19 kuanzia mwaka ujao. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeeleza kuwa Oktoba 4, mamlaka hiyo ilipokea ombi la mabadiliko ya bei ya umeme, hivyo unaandaliwa mkakati wa kukusanya maoni...
Read More

No comments:

Post a Comment