TANZIA: Samwel Sitta Afariki Dunia

Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa  za  kifo chake zimethibitishwa na Mwanae Benjamin Sitta. Mungu aiweke Roho ya marehem mahali pema peponi ...Amina...
Read More

No comments:

Post a Comment